Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kwa wale wenye macho ya kuona mbali kama sisi ( great thinkers) wa hapa jf nadhani atakubali Kuna kitu hakipo sawa pale mjini Simba Kwa fact zifuatazo:
1. Kila Simba ikianza kushine na kuanza kufanya vizuri....Kuna raia wanachomoa betri
Mfano kabla ya Nov 5 ...kabla ya Simba kula [emoji113]Simba ilikuwa na kikosi chenye confidence kubwa ...kiasi wananchi waliogopa ...lkn kilichotokea Hadi Leo hatuamini ....2nd half Simba ilipigwa 4
2. Ujio wa benchika Simba imeonakana kushine tena .. wydad kala zake 2 . mashabiki wameanza kufurahi .( Wakasema dhambi za onana wapewe wao)...wajanja wamechomoa betri Kwa Chama [emoji23][emoji23]..timu imerudi kwenye mgawanyiko Mechi ya kmc Simba kadondosha points
Kuna wataalamu wamekaa zao wanacheza draft ...na kete za Simba zinasukumwa kitaalamu kweli kweli
NB: tuseme tu ukweli ...kipindi hiki Yanga Iko vizr kiuchumi ...Simba ni ngumu kufurukuta .... Kwa soka la nje ya uwanja hapa TZ ( but Kwa michezo ya kimataifa wanaweza kuendelea kufanya vizuri