Hakuna unayemkomoa, unajiua mwenyeweHakuna hio kwani wanaoweka ndani hawafi? Wanakufa na wanaziacha wahuni wanaendelea kuzichakata, majuzi hapa yupo ambae kafiwa na mumewe imepita mwezi tu jana kaenda kuliwa hotel fulani watoto kamwachia jirani yake, wakati huo wewe ushaanza kuliwa na funza huko chini mwenzio kashakusahau watu wanaendelea kuimega tu tena wanaimega haswa kukuzidi wewe uliekwisha kufa
Hakuna anayeishi milele, ila kifo cha mzinzi ni kibaya sanaIna maana wewe utaishi milele?
Ni yeye sio mimiMkeo anaweza akawa mzinzi vilevile
Famasiala nini???
Acha uzinzi ndugu mwandishi
Kwani wewe sulemani????Hakuna uzinzi hapo
Sulemani alikua na wake wa kuwaoa 700 na Malaya 300, nadhani mimi nitakua mjukuu wake wa mjukuu wake wa mjukuu wake kwa hio naendeleza alipoishia Babu Sule
Duh alikula alaf atak kulipa😃😃😂😂😂😂😂
Jamaaa alikunjwa shati, anajifanya mbabe, anashangaa kende zimeminywaa, "unatoa hutoi"
Mdada piga kelelee "mwiziiii huyuu" wapangaji wenzie walio vyumba vingine kujaa shazi pale mlangoni.
Mkaka wa watu, afu mtumishi wa serikali, alijawa na aibu, alijuta kabisaa. Lol
😂😂😂😂
Khaaaaa🚮🚮🚮🚮Sulemani Babu