Hata siku moja situmiAah kwenye kikao hukuwepo nini,
Sema kama nivocha tu itume mkuu nikama ulimbo huo
Umaskini ulotopea ni Me kuwa mbabe wa kuhonga kila Ke nakati wamezagaa mijini kama bodaboda.Mpo busy na kupe, mtakufa masikini wallah. Wanawake wa sasa tumia akili sana kwenda nao sawa, bahati mbaya tunakitaka kipapa, wamesema hawauzi ila hawatoi bure...noma sana!!
Alisemaje? 😂😂Hata siku moja situmi
Sikia kuna manzi mmoja niliruka nae hivi hivi basi chatting za hapa na pale akaanza mambo hayo hayo ya vocha, akanilazimisha sana alikua anataka 5k nikaona 5k kitu gani na ukizingatia mtoto tayari nimemwelewa si nikafanya muamala bila wasi tena alilazimisha anataka salio la kawaida kwa hio nifanye km namuongezea salio kwenye laini yake ya tigo, nikafanya hivyo eeh si unarudi ujumbe umemlipia mkopo wa Niwezeshe mteja mwenye namba hii kiasi cha 5k, ikabidi nivute waya nimpigie kumuuliza ndio umefanya nini? Jibu lake liliniacha hoi sana
Umependa nini hapo huyo malaya tu aliejificha kwenye uso wa kuombaomba, maana hapo ana namba zaidi ya 100 na zote anaomba zimtumie salioSema nimecheka et nimeunga kwa mawasilian yangu na sio kuonge na wew umalaya 😂😂😂 uyo dada nimempenda naomba mawasiliano
Kawaida hiyo wengine tunawatumia nawanatublockHata siku moja situmi
Sikia kuna manzi mmoja niliruka nae hivi hivi basi chatting za hapa na pale akaanza mambo hayo hayo ya vocha, akanilazimisha sana alikua anataka 5k nikaona 5k kitu gani na ukizingatia mtoto tayari nimemwelewa si nikafanya muamala bila wasi tena alilazimisha anataka salio la kawaida kwa hio nifanye km namuongezea salio kwenye laini yake ya tigo, nikafanya hivyo eeh si unarudi ujumbe umemlipia mkopo wa Niwezeshe mteja mwenye namba hii kiasi cha 5k, ikabidi nivute waya nimpigie kumuuliza ndio umefanya nini? Jibu lake liliniacha hoi sana
We nipe mawasiliano yupo wapiUmependa nini hapo huyo malaya tu aliejificha kwenye uso wa kuombaomba, maana hapo ana namba zaidi ya 100 na zote anaomba zimtumie salio
Ukamlipia deniMjinga sana yule tena siku ile ile tukazinguana kishenzi na ukawa mwisho hapo
Sema nimecheka et nimeunga kwa mawasilian yangu na sio kuonge na wew umalaya 😂😂😂 uyo dada nimempenda naomba mawasiliano
Bora uendelee kununua taratibu taratibu kuliko kuendelea kusumbuana akili na hawa watuMapenzi ni pesa, hata malaya anataka malipo baada ya huduma !
Mm nashauri mtu kama haupo sawa kiuchumi hizi mbanga za wanawake ziweke pembeni kwa mustakabali mkubwa wa uchumi wako
Mjinga sana yule tena siku ile ile tukazinguana kishenzi na ukawa mwisho hapo
Umaskini ulotopea ni kuwa mbabe wa kuhonga kila Ke nakati zimezagaa mijini kama bodaboda.Mpo busy na kupe, mtakufa masikini wallah. Wanawake wa sasa tumia akili sana kwenda nao sawa, bahati mbaya tunakitaka kipapa, wamesema hawauzi ila hawatoi bure...noma sana!!
Poa poapSitaki lawama hizo kwanza ni single mother ana injini zimepaki zinamuangalia yeye na kashatembea umbali mrefu sana, unataka ufanye nae nini?
Uzi ufungwee. 😂😂😂😂hahahaha dah,
hawauzi lakini hawatoi bure pia
Dah yaan ili uwasiliane nae lazima uweke bando ndio muongeeMambo ya emotions
She created New belief (Cognitive dissonance)
Weka hapa mbinu za kivita tuone utavyomnunua huyo Malaya Mkuu, inaonekana Mwamba kachemka namna ya kumshawishi Malaya ataje bei atayojiuza nayo.Sema nimecheka et nimeunga kwa mawasilian yangu na sio kuonge na wew umalaya 😂😂😂 uyo dada nimempenda naomba mawasiliano