Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

😂😂😂😂
 
Weka hapa mbinu za kivita tuone utavyomnunua huyo Malaya Mkuu, inaonekana Mwamba kachemka namna ya kumshawishi Malaya ataje bei atayojiuza nayo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Unatuma iyo buku kisha unamwambia njoo uchukue hela ya kula achomoki unakula kisha una mwambia nenda nakutumia af una block kama mjuzi itabidi umtumie
 
Weka hapa mbinu za kivita tuone utavyomnunua huyo Malaya Mkuu, inaonekana Mwamba kachemka namna ya kumshawishi Malaya ataje bei atayojiuza nayo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sijachemka kabisa mkuu ila huyu kaja naa mbinu mpya ya kivita, yaan meseji ya kwanza tu anataka bando ndio muendelee na mazungumzo mengine

 
Bora uendelee kununua taratibu taratibu kuliko kuendelea kusumbuana akili na hawa watu
Sasa wewe gia uliyoingia nayo una -mtreat kama Queen kumbe Paka tu ,,,, !

Mm huwa nina hulka moja, nikimtaman ke, huwa nikichukua namba pale mwanzo huwa namuambia "nataka nikuibe Leo ama weekend, nambie nakuibaje, hapo nataka bargain, nikiona poa nakula mzigo, ikitokea nimetaka tena nitamlipa, mambo ya kuhudumia siwezi, huyo sio mkeo !
 
Unadhani Ke wanaojiuza kwenye Badoo, Tango, Instagram, Telegram, Facebook, Twitter na porn sites huishi sayari zingine tofauti na hawa hawa akina Sikudhani wa Ushirombo?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…