Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
2022 kuna Ke nilimwomba no hajageuza hata uso vizuri SMS hiyo "Tafadhali niongezee salio" nilimpigia simu kujiridhisha alikubali ni yeye nilimtumia 5000, kesho yake kashaniomba nimlipie kodi ya nyumba muda huo akidai hajiuzi, nilimjibu sina tukachati kidogo tu mara oooh "njaa inaniuma sijala" nikamwambia tukutane nikupe unipe akajibu sawa, nikampatia 10,000 alinunua chipsi kuku, soda pesa ikasha. Alijitetea "kesho ataenda kazini nimvumilie baada ya siku 5 nilimkubalia, siku iliyofatia alikuwa akichati nami kwa kusuasua sana, nilimuuliza kwanini anachelewa kujibu SMS? Alinijibu kuwa "hajisikii vizuri anahisi ana homa", kumuuliza anasubiri nini kwenda hospitalini? Alinijibu "hana pesa, nikamwambia aje geto achukue pesa eti oooh hali yangu ni mbaya sitaweza kuja ila nikienda alipo yeye atasogea distance km 1 nimpe pesa aende hospitalini"Kwa hio na wewe unasema bora kununua tu?
Unachekeshaa wee, 😂😂😂😂🙌🙌 wazembe hao unaweka uso wa mbuzi
Yaani hii gender war inayoendelea huku mitandaoni tamu kweli.
😂😂😂😂 sasa wee mwachi hata nguvu ya kupiga unayoo?Haaaha unapiga makofi anatulia yeye na anasepa
😂😂😂😂😂Ndio mmestika Leo mtakubali tu Mimi nimepitia yote Aya now mimejichagulia pisi yangu Moja naishi nayo now mwaka na nusu sasa mambo ya upwiru sio kesi zangu Tena maishani nakula nitakavyo wazee wa kataa ndoa mpaka mtaelewa tu kudadeki🤣
Umetisha Mkuu, ila Gubegube la mjini lazima lije getoni mwako likiwa limevaa jinsi gumu linalobana ili likuchune tu bila kukupatia kisusio😁Unatuma iyo buku kisha unamwambia njoo uchukue hela ya kula achomoki unakula kisha una mwambia nenda nakutumia af una block kama mjuzi itabidi umtumie
Nimekuelewa sana mkuu ila hawa watu wanatupa changamoto sana yaan wanataka kukupiga tu kisha walale mbele yaan siku zinavyozidi ndivyo matumizi yanaongezeka2022 kuna Ke nilimwomba no hajageuza hata uso vizuri SMS hiyo "Tafadhali niongezee salio" nilimpigia simu kujiridhisha alikubali ni yeye nilimtumia 5000, kesho yake kashaniomba nimlipie kodi ya nyumba muda huo akidai hajiuzi, nilimjibu sina tukachati kidogo tu mara oooh "njaa inaniuma sijala" nikamwambia tukutane nikupe unipe akajibu sawa, nikampatia 10,000 alinunua chipsi kuku, soda pesa ikasha. Alijitetea "kesho ataenda kazini nimvumilie baada ya siku 5 nilimkubalia, siku iliyofatia alikuwa akichati nami kwa kusuasua sana, nilimuuliza kwanini anachelewa kujibu SMS? Alinijibu kuwa hajisikii vizuri anahisi ana homa", kumuuliza anasubiri nini kwenda hospitalini? Alinijibu "hana pesa, nikamwambia aje geto achukue pesa eti oooh hali yangu ni mbaya sitaweza kuja ila nikienda alipo yeye atasogea distance km 1 nimpe pesa aende hospitalini"
Naunga mkono hoja na mguu Me tununue tu Ke, hakuna kupendwa bila kutanguliza chapaa.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hahaha ni aibu bora umlipe aende tu hakuna haja ya kujaziana watu na kutiana aibu asubuhi kumekucha😂😂😂😂😂
Jamaaa alikunjwa shati, anajifanya mbabe, anashangaa kende zimeminywaa, "unatoa hutoi"
Mdada piga kelelee "mwiziiii huyuu" wapangaji wenzie walio vyumba vingine kujaa shazi pale mlangoni.
Mkaka wa watu, afu mtumishi wa serikali, alijawa na aibu, alijuta kabisaa. Lol
😂😂😂😂
Wapitishe tu sheria za ndoa za mikataba maana usikute wengine ni Wake za Watu ila hawakwambii, ghafla utafumaniwa utafanyiwa umafia bila ya kuwa na hatia kisa tamaa tu za Ke uliyekutana naye.Nimekuelewa sana mkuu ila hawa watu wanatupa changamoto sana yaan wanataka kukupiga tu kisha walale mbele yaan siku zinavyozidi ndivyo matumizi yanaongezeka
Mkataba wa muda gani kuichapa kwa Mwezi?Wapitishe tu sheria za ndoa za mikataba maana usikute wengine ni Wake za Watu ila hawakwambii, ghafla utafumaniwa utafanyiwa umafia bila ya kuwa na hatia kisa tamaa tu za Ke uliyekutana naye.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hata wiki 1 tu ni sawa maana ujue duniani Me hatuna watetezi wa haki sawa kama Ke ili tunusuru life span yetu kuwa kubwa.Mkataba wa muda gani kuichapa kwa Mwezi?
Labda Baba yake ni Billionaire masikini mkuu huwezi juaAchana na vitoto vya maskini wa akili na pesa,tafuta mtoto V.I.P wanaohitaji mahaba na mapenzi ya kweli (peace of mind)
N.B:kama pesa ingekuwa rahisi hivyo baba ake angekuwa Bilionea stupd.