Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

Wazo zuri vipi kuhusu kumuudumia mwanamke uliye zaa nae lakini sio mkeo nae uhudumii?
 
Hata hiyo ya kuhamisha miamala ni zamani, 😂😂😂😂
Sahivi hakuna wa kumtumia kwa simu, ili akatwe? Utampa mkononi, utake, usitake.
😂😂😂😂😂😂
Ewaaa makato ya Nini Tena labda amtumie na yakutolea watu wanataka cash vinginevyo ataaibika mtu hapo yaani sio poa🤣
 
Hivi huwa zinanunulika ama wanatoa huduma
Kwa masaa kadhaa unanunua kisha yakiisha unamuacha na bidhaa yake ila ushainunua kwa muda na kuitumia kwa muda, ukitaka kuinunua jumla jumla ndio vile unawafugia na wengine chama la wana unakula na wao wanakula, akili kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…