Nimeanza kuamini ulegelege wetu Waafrika kama Bara katika maendeleo unatokana na wastani wa IQ ya umma (population) kuwa chini Sana

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
Katika chimba-chimba yangu ya kulielewa hili bara na kwanini tupo hivi (ukiondoa lawama za "mkoloni" ambazo hazina mashiko kwa Karne hii) nimekuja kugundua ikija katika masuala ya IQ ya umma wetu aisee inahitaji nguvu ya ziada kuipandisha

Hadi Sasa nimetambua Kuna classification tatu za binadamu; Kuna Caucasoids (wazungu), Mongoloids (watu wa Asia mf. Wachina wahindi n.k), kisha Negroids (Waafrika); ikija katika utafiti uliofanyika juu ya wastani wa IQ katika umma hizi tatu kilichoonekana ni kama ifuatavyo:

  1. Mongoloids (Wastani wa IQ ni 110 - 120)
  2. Caucasoids (Wastani wa IQ ni 100)
  3. Negroids (Wastani wa IQ ni 85)
IKUMBUKWE hapa kinachoongelewa ni WASTANI hivyo sio Kila Mwafrika ana IQ ya 85 na sio Kila Mchina na Mzungu anafika hiyo 100 au anazidi; ni Imani yangu kwamba wastani huu mdogo tulionao unapelekea watu wengi wanaoingia katika utumishi wa Umma na nyadhifa nyingine kubwa za kuliongoza hili bara kuwa na IQ ndogo na ushahidi wa hili janga ni kuwa kitamaduni katika bara letu anayefika juu na kupewa nafasi sio kwamba ni Bora au "ana kitu kichwani" bali ana mjua nani na ana nini;

Hivyo sitashangaa Sana kama uhalisia ni kuwa Waafrika wengi wenye IQ kubwa wanaozea kwenye nafasi ambazo ni za kawaida kabisa na wale wenye nafasi ya kung'aa sana huchukuliwa na nchi zinazothamini IQ zao (brain drain)
 
Tufanyeje sasa Ili kukuza IQ zetu ?
 
Jamii ya kanyaga twende, (bora liende)
 
Bora tubaki tu na IQ zetu mbofumbofu zenye mushkel kuliko kukumbatia na kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja hadharani na kuwa na mindset za kijinga eti mwanamke mrembo anafanana hivi kama kwenye picha hapo chini.
91573233-14031247-image-a-5_1730493400325.jpg
 
Tufanyeje sasa Ili kukuza IQ zetu ?
Binadamu akipata changamoto uwezo wake wa kufikiri unaongezeka, (huamsha ubongo).

Tunavyoendelea kupata changamoto ndivyo tunavyo pata suluhu ya kukabiliana nazo,

Matumizi ya simu janja, huwezesha mtumiaji kujifunza vitu mbalimbali kwa njia ya mtandao kama tunavyo elekezana hapa jf,
 
Hili nalo Neno, ratio ya protini na wanga sio rafiki kwa ubongo kusema kweli
mkuu usidanganyike!
ugali wa uwele na ulezi huku umechanganya na ngano useme unaua IQ?

tunachokosea ni kula mahindi tu,kwa ujinga tunajisifu tunakula DONA.

labda tuelezee maana ya ugali
 
Sons and daughters of Ham are eternally cursed , it is destined to be that way ,their poor & ancient ape like mental abilities is what translates into their poor social and economic development
 
Katika chimba-chimba yangu ya kulielewa hili bara na kwanini tupo hivi (ukiondoa lawama za "mkoloni" ambazo hazina mashiko kwa Karne hii) nimekuja kugundua ikija katika masuala ya IQ ya umma wetu aisee inahitaji nguvu ya ziada kuipandisha

Hadi Sasa nimetambua Kuna classification tatu za binadamu; Kuna Caucasoids (wazungu), Mongoloids (watu wa Asia mf. Wachina wahindi n.k), kisha Negroids (Waafrika); ikija katika utafiti uliofanyika juu ya wastani wa IQ katika umma hizi tatu kilichoonekana ni kama ifuatavyo:

  1. Mongoloids (Wastani wa IQ ni 110 - 120)
  2. Caucasoids (Wastani wa IQ ni 100)
  3. Negroids (Wastani wa IQ ni 85)
IKUMBUKWE hapa kinachoongelewa ni WASTANI hivyo sio Kila Mwafrika ana IQ ya 85 na sio Kila Mchina na Mzungu anafika hiyo 100 au anazidi; ni Imani yangu kwamba wastani huu mdogo tulionao unapelekea watu wengi wanaoingia katika utumishi wa Umma na nyadhifa nyingine kubwa za kuliongoza hili bara kuwa na IQ ndogo na ushahidi wa hili janga ni kuwa kitamaduni katika bara letu anayefika juu na kupewa nafasi sio kwamba ni Bora au "ana kitu kichwani" bali ana mjua nani na ana nini;

Hivyo sitashangaa Sana kama uhalisia ni kuwa Waafrika wengi wenye IQ kubwa wanaozea kwenye nafasi ambazo ni za kawaida kabisa na wale wenye nafasi ya kung'aa sana huchukuliwa na nchi zinazothamini IQ zao (brain drain)
Ukishaongelea IQ hivi tu na wewe mwenyewe ushajishusha chini.

Yani hata hiyo IQ yenyewe hujaisoma kwa kina unabumbabumba kwa juujuu tu kuitajataja.
 
Negative
Positive

Africa tungeweza kufanikiwa Kama tungejikita katika positivity zaidi.

Kuhusu IQ hawa hawa watu weusi wakienda kusoma ulaya huwa wanapata A+ Ila bado hawana uwezo wa kuchanganua maisha. Means tuna uwezo wa kukariri na sio kuelewa .

Na maisha ukikariri unaweza usitoboe au kujiletea maendeleo .
 
Back
Top Bottom