Ikiingia kwenye simu yangu kuifuta inamaliza charge ya simu yangu yaani ni upuuzi mtupu. Nyingine Oh Yesu hajawahi kutoa mtihani wala assignment lakini Yuda Iskarioti ali-disco yaani ni upuuzi jamani. Nasikia zinatoka tiGO. Hebu tiGO jaribuni sana kutoingilia masuala ya dini za watu. Ingekuwa mmeingilia "ile dini nyingine nadhani hilo jengo lenu halingekuwepo duniani sasa hivi. Sisi Wakristo pamoja na kuwa ni wastaraabu sana hatukurupuki lakini jueni kuwa upuuzi wenu wa masuala ya dini hayana tija kabisa acheni. This is a soft warning to tiGO and other medias.
kwangu hazijawahi kuingia, tena sizitaki.
kwangu hazijawahi kuingia, tena sizitaki.