yatima
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 354
- 131
hongera sana - huyo mgonjwa mshike mlishe pilipili nzima - kutwa mara tatu - atapona - kama huna pilipili - tafuta ugoro mchanganyie kwenye maji. Otherwise kama ulivyoshauriwa na wengi wape kuku wote chanjo - unalitakiwa chanjo iwe kitu cha kwanza kabisa ...............hata hivo hujachelewa - jitahidi kuwapa chanjo - wakimaliza maji yao weka majani ya olevera - wakinywa - watapona.
Hakikisha banda ni safi halina utitiri au viroboto - NAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA UFUGAJI :A S thumbs_up::A S thumbs_up:
Hakikisha banda ni safi halina utitiri au viroboto - NAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA UFUGAJI :A S thumbs_up::A S thumbs_up: