nashukuru mkuu! nimewapa dawa inaitwa vetoxy-20 kwa siku mbili na naendelea kuwapa kwa wiki hii nzima nimeambiwa inatibu kideri na magonjwa mengine yanayo wasumbua kuku sasa nawasikilizia lakini kuna mmoja naona anasinzia sinzia
ni kweli mkuu hapo ndio kwanza nilikuwa nimetoka kuwanunua na hata banda nilikuwa sijaandaa lakini nashukuru nimefanikiwa kupata banda leo na nategemea kununua vifaa vya kulia chakula, kuhusu jogoo bado natafuta mbegu nzuri zaidi na huku nilipo wanapatikana majogoo ya kuchi tatizo raia wagumu sana kuuza mbegu lakini bado nawasaka.
View attachment 109477View attachment 109478ndugu zangu baada ya kujaribu kufuga kuku kwa mara mbili na kuambulia vifo nimeamua kubadili ufugaji na sasa nimehamia kwenye ufugaji wa noah, maendeleo ni mazuri nina miezi mitatu tangia nianze na nimefanikiwa kuzalisha nguruwe wawili mpaka sasa na wengine sita wapo kwenye joto muda wowote nawapandisha
Mkuu hawa jamaa wanalipa saana
Nakushauri uwe kama SIMBA anayewinda................hakikisha unaweka akilizako.....muda...na resourse kwa hao jamaa.................naamini muda mfupi tu lazima wakutoe.............chamsingi.......jifunze namna ya kuwalisha...chakula.....magonjwa......soko......kama una internet kila kitu kipo mkuu............na kwa kupunguza garama ....................unaweza jitahidi wakawa wengi...ukawa unauza kama vitoto pesa utakuwa unapata iwe unaitumia kuwatunza...........namaanisha mradi uwe unajiendesha wenyewe.............na rafiki yangu Mkenya anafuga,.......anawatoa kila baada ya miezi sita na kila moja unakuta anakilo 80 mpaka 100.......ukitaka ushauri usisite kuwasiliana kwani utapata ufumbuzi mapema saana........................
Kila la kheri