Nimeanza kulewa kwasababu nimemchoka mume wangu tangu alipofilisika

Kwani hela za kulewea unazitoa wapi?
 
Jamaa alipigwa sana kuoa mwanamke type yako . Kuna watu niwakuwala tu nakuwaacha sio wakuoa . Tafuta mwingine mwenye pesa akuoe mwache jamaa apambanie watoto wake na maisha yake . Vijana tuwe makini sana kwenye kuoa. Kamwe usimuonyeshe maisha mazuri sana mwananke unayeitaji kumuoa ata kama unazo ili kupima uvumilivu.
 
Kumbe pesa bado ipo kama unapata ya kunywa pombe mpaka unazima.
 
Huyu ananogesha forum tu sidhani kama anamanisha.
 
Badala ya kumpiga jeki, wewe unatumbua bar? Maisha haya!
 
Nikiona post kama hii nasema "Asante Mungu kwa mke uliyenipa." Ningekufa siku si zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…