Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Chanzo cha Tatizo kimoja wapo ni wewe.. Tambaa zako ajipange na Mungu Baba amuangazie...
Malayakwanza kukuona shida!
Malayakwanza kukuona shida!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani.
Appetite ya kuwa naye imekata kabisaaa. Nikimcheki alivyopauka, midevu imechachamaa utadhani yule mchezaji wa Simba ambaye huwa akifunga goli anaweka mpira kwenye nyeti zake.
Maneno yake hayana tena mvuto kwangu.
Amefulia kiuchumi. Na nafsi yangu imefulia kwake.
Nifanyeje?
ONYO: Usije na swaga eti ooh hukumpenda ulipenda fedha zake. Kwa taarifa yako wooote wanaolewa kwa kuangalia potential ya mtu kimaisha hasa hasa pesa.
Ndiyo maana unapowaeleza wazazi/ ndugu/jamaa/marafiki kuwa umepata mchumba, swali lao la kwanza huwa ni "anafanya kazi gani? Ama anajishughulisha na nini? Why this question?
Kwasababu wanaulizia kama jamaa ataweza kukulisha

Umeona eenhh??.Watanzania ni viumbe wa ajabu sana, watanzania ndio binaadamu pekee ambao huomba msaada halafu anatoa na onyo inayo ambatana na masharti & vigezo kuzingatiwa.
Kutokana na hio onyo yako, sina budi kukwambia pambana na hali yako.
Argument yako imekaa poa. But for me life is too short to withstand any pain.Wewe Leo utajisikiaje ukaparalize akakuonea kinyaa akuache?au ukapata ugonjwa hata wa ukichaa akakuacha? Mimi kwa malezi niliyokulia ningeneutralize tu ndiyo maisha Leo mnacho kesho hamna keshokutwa kinarudi... Mungu alinibariki wazazi wanaopendana wana up na down zao kwl,.usione wanaofanya jubilee miaka 25,50 ukadhani hawakuyapitia hayo...pesa sio kila kitu sasa endelea kumtesa na karma ilivyo isije ikakurudia Hiyo ndio moment atakuchagua kuwa Wewe ni mwanamke wa maisha yake,..na atakuchukia akigundua unamchukia sababu hana pesa hivi kwnn hawawambii ukwl wa ndoa hiyo ndio ndoa siyo zile tamthilia za lamujer de mivida..ndoa ni mtihani kama mitihani mingine..
Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani.
Appetite ya kuwa naye imekata kabisaaa. Nikimcheki alivyopauka, midevu imechachamaa utadhani yule mchezaji wa Simba ambaye huwa akifunga goli anaweka mpira kwenye nyeti zake.
Maneno yake hayana tena mvuto kwangu.
Amefulia kiuchumi. Na nafsi yangu imefulia kwake.
Nifanyeje?
ONYO: Usije na swaga eti ooh hukumpenda ulipenda fedha zake. Kwa taarifa yako wooote wanaolewa kwa kuangalia potential ya mtu kimaisha hasa hasa pesa.
Ndiyo maana unapowaeleza wazazi/ ndugu/jamaa/marafiki kuwa umepata mchumba, swali lao la kwanza huwa ni "anafanya kazi gani? Ama anajishughulisha na nini? Why this question?
umetisha mkuuMmalize kabla mali hazijaisha ili upate cha kuanzia maisha wakati unamtafuta mume mwengine mwenye pesa... Ukimchelewesha atakufia hana hata mia... Hapo unaonaje