Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
ONYO: Usije na swaga eti ooh hukumpenda ulipenda fedha zake. Kwa taarifa yako wooote wanaolewa kwa kuangalia potential ya mtu kimaisha hasa hasa pesa.Watanzania ni viumbe wa ajabu sana, watanzania ndio binaadamu pekee ambao huomba msaada halafu anatoa na onyo inayo ambatana na masharti & vigezo kuzingatiwa.
Kutokana na hio onyo yako, sina budi kukwambia pambana na hali yako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540]