Nimeanza kumchukia mpenzi wangu kwa sababu ya NO REFORM NO ELECTION

Weakman

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2021
Posts
1,092
Reaction score
1,702
Mpenzi wangu, ananileteaga stori za kuwachukia wapigania haki wa No Reforms No Election,
Daaah, anakera mnoo!

Sometimes ananikuta nimetulia, nasikiliza clips za No Reforms No Election, anaanza kutia maneno ya kuwaponda makamanda, eti "hawa wahuni, wavunja amani"

Napandwa na hasira kaalii!

Huyu mwanamke ni mzuri, lakini nimeshashtuka Hana akili japo amepita shule!

No Reforms No Election!
 
[emoji3516]
NO REFORMS,
NO ERECTION!!!
[emoji377][emoji124][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469]
 
mu heart break ili akili imkae sawa
 
Back
Top Bottom