KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje.
Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpaka hivi sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda kama jana na zaidi ya leo.😥
Sifa zake ni:
Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpaka hivi sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda kama jana na zaidi ya leo.😥
Sifa zake ni:
- Kapole ila kazururaji
- Hakanywi bia ila kanaonja
- Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.