Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kapige kisamvu .....Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.😥
Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.
Tuombeane tu tuvuke salama..😥