Hujanielewa bado, nipe mjiAnapenda kuvaa dera 🤣🤣 huyo ni kidege joniii Tu🤣
🙄Hii kauli aliipenda mwendazake, au umefufuka
😲NOTE:Kama kwake dera ni kanzu,achana nae huyo utamsumbua mbele ya safari..
Mkuu Kuna jukwaa la jamii intelligence na stories of changes mada serious zipo kule.We jamaa unaonaga sifa kuanzisha nyuzi za kiduanzi kama manzi yani dah.
Moyo wangu ni propera hauna mapumziko aisee..😅Pumzisha huo moyo ,utakuja kufa.
Nyau wewe[emoji41]
Mkuu wavaa Madera wanajua kufinyia kwa ndani kitu inaminywaminywa! Aisee kwenda motoni ni kugusa tu!Mtoto wa kiume unalilia penzi wakati wachuchu wapo wengi...
Mchuchu akizingua unamshusha cheo, unatafuta mchuchu mwingine unampandisha cheo toka just a friend to a girlfriend...
Dah! Sasa mwanivunja moyo namuachaje haraka tu!Pambana boy ila madem wa wavaa vijora na madera huwa wambea.kila kitu mkifnya jua atatasema tuu..na ukimwambia hii ni iwe siri yetu ndio km vile unamzimua aweke laudispika
Mguuni hana kikuku? Vip anapendelea kuvaa tuviatu vya manyoya? Sijui nilikuwa nataka kusemaje tu. JokesSifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.
Mh! Watu mnauzoefu si haba..🤣Mguuni hana kikuku? Vip anapendelea kuvaa tuviatu vya manyoya? Sijui nilikuwa nataka kusemaje tu. Jokes
Kama umempenda kwel mwambie kadri unavyozid kuficha hisia ndivyo kadri unavyozid kuzichochea zaid kumpenda. kuhusu mavaz ni swala la kawaida sana dela limekuwa vaz rahis kwa mabint weng nowadays, kuzurula malizana nae kwanza akikukubalia ombi lako njoo nikupe mbinu za kumfanya apunguze kuzurura
Et mauzoefu!!!🤣🤣🤣😂😂Mh! Watu mnauzoefu si haba..🤣
Sawa mkuu nitajitahidi hili gurudumu nutahakikisha linaenda uzuri mizimu si ipo! Ni Jambo la kuishirikisha tu..