Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kapige kisamvu .....Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.😥
Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.
Tuombeane tu tuvuke salama..😥
Leo nilikuwa sehemu moja hivi jamaa akawa anamwambia Dada mmoja, wavaa madela wote huwa wanatoa kwa mpalange. 😀😀Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.😥
Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.
Tuombeane tu tuvuke salama..😥
Mkuu wavaa Madera wanajua kufinyia kwa ndani kitu inaminywaminywa! Aisee kwenda motoni ni kugusa tu!
Asante kwa dedication nzuri😛We nakujibu kwa wimbo tu!
View attachment 1997612
Tabia ya kuunganisha comments namna hii uache, sijapenda🙄
😲
Mkuu Kuna jukwaa la jamii intelligence na stories of changes mada serious zipo kule.
Moyo wangu ni propera hauna mapumziko aisee..😅
Laleki..😲Kapige kisamvu .....
Unanichanganya mkuu..😥.........kumpenda mtu n swala moja, na mtu kukupenda n swala lingne.
Unayempenda na yy ana anayempenda, na usyempenda ndye akupendae.
🙄
Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana
By Mzilankende
😁😁Na ukame huu
View attachment 1997589
🙄Leo nilikuwa sehemu moja hivi jamaa akawa anamwambia Dada mmoja, wavaa madela wote huwa wanatoa kwa mpalange. 😀😀
Niogope vipi utamu..🤣Kwa hiyo unaogopa kufinyiwa ndani au?
Akili zako nazijua tutaelewana tu.Asante kwa dedication nzuri😛
Sawasawa mkuuTabia ya kuunganisha comments namna hii uache, sijapenda
Jiandae kuitwa "My wangu"Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.[emoji26]
Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.
Tuombeane tu tuvuke salama..[emoji26]
Na huko ukiachwa tena uje utoe taarifa kama ulivyotoa hii.Akili zako nazijua tutaelewana tu.
Tuna vingi vya kuombea[emoji23]Aweee nani akuombee! Soon unaachwa tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umerudia Tena, sikuombei we jiombee tu🙄
Niogope vipi utamu..🤣
Akili zako nazijua tutaelewana tu.
Sawasawa mkuu
Na huyo atakutafuna hadi nywele ndio utajua hujui😂Nachoshukuru wewe nilikuacha maana ulikuwa ukitafuna nguo zangu tabia sijui ya wapi ile yani ulikuwa unatafuna Kama panya..🤣🤣