Nimeanza kuona matunda ya kuwekeza kwa mchepuko

Nimeanza kuona matunda ya kuwekeza kwa mchepuko

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wakuu habari?

Mnavyojua wakuu, wanaume tumeumbwa kutamani na kupenda watoto wazuri waliopo hapa duniani.

Katika pita pita zangu, nikanasa na mlimbwende mmoja ambaye aliweza kuuteka moyo wangu, mpaka nikiwa natembea mwenyewe mapigo ya moyo yanakuwa yako juu.

Kutokana na uzuri alionao, nikaona si mbaya niweze kuweka alama angalau siku zijazo aweze kunipatia mtoto. Na kweli, kwa sasa ni mjamzito.

Kutokana na ujuzi na uzoefu wake wa biashara, alinishauri niwekeze kwenye biashara fulani; baada ya kuitafakari nikaona haina shida, ikabidi niianzishe na yeye aweze kuisimamia.

Baada ya hapo ikawa kazi ni kupigana shoo, ananiachia nipige mpaka nichoke mwenyewe; nami nimekuwa nampa shoo kali sana mpaka wakati mwingine yeye anakimbia.

Kwa sasa ananipatia gawio pale ninapotetereka kiuchumi, nikimwambia leo siko poa nahitaji kiasi fulani, anatekeleza.

kila anapokuja kwangu ananiletea zawadi, anaweza kuja na mashati matatu, au suruali n.k

Wakati mwingine ananinunulia vitu vya kula nyumbani, bila ata mimi kumuomba.

Muda wowote nikimwambia nina hamu, ataacha shughuli zake na atakuja haraka kunihudumia.

kweli huyu mchepuko, ana manufaa na mimi; kwa sasa nafikiria kumuongezea wigo wa biashara yake.

Kama hali inaruhusu wekeza kwa mchepuko pia; maisha ni haya haya.​
 
Nani mwingine anahitaji chai
 

Attachments

  • IMG_2926.jpeg
    IMG_2926.jpeg
    71.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom