sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Wakuu wangu, wenye ku experience tatizo kama langu naomba msaada.
Hivi karibuni, around miezi kadhaa imepita, uwezo wangu wa macho umeanza kupotea, kiasi cha kupata tabu kuingiza vocha usiku hadi niwashe mwanga mkali, muda sio mrefu ndani ya mwaka nilikuwa nina uwezo mkubwa tu naingiza vocha au kusoma maandishi madogo, lakini sasa hivi ni shida.
Nimeanza kupata shida hii baada ya kuanza kazi ngumu, nimepunguza sana kutembea na vyombo vya moto kama pikipiki, natembea kwa mguu, tangu nimeanza haya mazoezi ndo naanza kuona hili tatizo, nina miaka 43 kama kuna mtu alisha kuwa na tatizo hili naomba ushauri.
Sipendi mtu aje hapa afu aniambie nenda hospitali ukapime, hospitali nataka iwe last resort.
Nataka njia natural ya kuondoa hili tatizo.
Ahsante
MziziMkavu
Kaveli
Mshana Jr.
Sent using Jamii Forums mobile app