NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

Pale mzumbe nao wazushi eti nafasi moja watu wameitwa 8 is it fair mkubwa

Muda mwingine tunaitaji maombi kwa kweli sasa we ulitaka aitwe mmoja kisa nafasi ipo moja c'mon interview sio kupeleka cv ni kuielezea cv yako!!Mashamba yapo mengine
 

Walikuogopa wakasema huyu atatupa tabu tumpige chini
 

Ulizidisha kujieleza,kwenye usaili unatakiwa kujibu uklichouluzwa tu.
 
Yaani sijui wanakuwa hawana uhakika na mambo yao,lakini kubebana ndio tatizo huwa hilo,sijui tunaelekea wapi,Du!!!!!!
 
Haya mambo ndiowanayafanya yaendelee,nilikuwa cjakumpa moja ya mikasa yanga hapo ajira zao za serikarini,waliniuliza maswali pannel nzima ilikuwa na watu sita eti ma professor kuonyesha tu kuwa hatukupi akaniambia"It is very difficult for me because you have knowledge and Skills but you dont have experience" na wakati naitwa walijui kabisa kuwa mwakajana ndio nimemaliza 2nd degree cjui walitaka ujuzi gani???.Kuna vituko balaa...
 
Maombi unakuwa unaomba nini??Acha maisha yako ya kusadikika,watu wanataka ukweli wa mambo,Eti mashamba yapo mengu mbona wewe umekimbilia mjini!,sasa kule unaenda kulimiamikono??na mazao yako yakistawi anapewa muwekezaji,eti maombi!!!
 

Interview yoyote ile ili kuleta ushindani,msailiwa akiwa mmoja hawezi kupatiwa nafasi hiyo.Ni lazima itangazwe upya.Sasa kama kuna mtu aliajiriwa na hakuwa interviewed au haikutangazwa tena hayo ni mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…