Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

hebu acha huo u.ant-social.... mitandao inaharibu cku nzima m2 yupo kwny net hata chai hajanywa anash2ka sa mbili ucku..
 
Amua tu!

Kila kitu kinawezekana, inategemea tu wewe utataka watu wakuhukumu namna gani..

Muone mwanamke mwenzio hapa, yeye kaamua. Wewe je?

MTV3.jpg

DAH utamu wote nje....
 
Una mpenzi?
ɐᴉɯ ˙ouǝu ǝɯǝsn ooɾu ɥʇɹɐǝ uo uǝʌɐǝɥ@ ˙ǝǝsᴉɐ ǝʇnʞn oʇoɯ ɐʞɐʍɐun ǝʞɐʍ ᴉlᴉʍɯ n∀ ˙¿ᴉzuǝdɯ ɐun ᴉʇǝ˙˙˙˙ɐɐɐɐɥɐɥɐɥɐɥ
 
Ni pm nikupe suluhisho..am a man na nishawahi pitia hii kadhia.
Mpaka napata tiba na kurudia hali ya kawaida most of my staff zilikua zimekwama.
Pm me
 
ɐᴉɯ ˙ouǝu ǝɯǝsn ooɾu ɥʇɹɐǝ uo uǝʌɐǝɥ@ ˙ǝǝsᴉɐ ǝʇnʞn oʇoɯ ɐʞɐʍɐun ǝʞɐʍ ᴉlᴉʍɯ n∀ ˙¿ᴉzuǝdɯ ɐun ᴉʇǝ˙˙˙˙ɐɐɐɐɥɐɥɐɥɐɥ

Hiyo ipad yako inatusomesha kisomali huku!
 
Back
Top Bottom