Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Ungetoka ata nje ukamwacha ndan kuliko ulivyooenda kufanya hata kama anakutega kiasi gan mpaka ulale n mkweo duuh we una laaana weww
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Ninasikitika kukujulisha kwamba umelaaniwa, zama za sheria ungehukumiwa kuuwawa wewe na mkweo
 
Wape mimba/ujauzito wote kwa pamoja watoto watakaozaliwa wataitana vizuri xana mwana .com wee mungu akubariki.
 
Ss tukushauri nini wakati umeshamlamba?labda ushauri mdogo utoe pasi ya mke wako kwa mdau hapa aendelee kumshughulikia ili ww uendelee na mamamkwe
 
Duhhhhh
Umeifanya siku yangu..kweli wanaume nawavulia gwanda kabisa
 
Wewe ni mpumbafu mkweo ni mama yako nyoko wewe unafilwa na nnzi
 
Kama ni upungufu wa akili basi mi nakufananisha na HAYAWANI kwa kitendo hicho ulichomfanyia mkeo kumgongea mama yake,, kwa adhabu hapa duniani inayokustahili kama mwanaume HAIPO na narudia tena HAIPO inayokustahili utaikuta hukohuko wabakosema yupo atoaye hukumu za kweli
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Kabila gani?
 
Yaani, mama mkwe, tena ni mwaka tu umemwoa bintiye? Nyie watu mmlaaniwa tangu tumboni mwa mama zenu!
Yani huyo amelaaniwa kwa laana, yan maana yake Mungu amemlaani na laana ya Mungu ikamlaani.
Kuna aina mbili za wanadamu.
1. Human being
2. Mankind.
Huyu ni mankind ila utu haumo kwake.
 
Sasa ushauri gani unaotaka wakati umeshamaliza shughuli?
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Oooh my god sasa hapo mke wako akigundua itakuwaje? Acha huo mchezo kabisa baki na mke wako.
 
Back
Top Bottom