Lengo lako la mazoezi ni nini?Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu
Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.
Kwenu wadau.
cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
Ni kawaida kuchunika sehemu za mapaja ukitembea umbali mrefu kwa mara ya kwanza kutokana na msuguano wa nyama za paja. Jinsi unavoendelea kufanya hayo mazoezi zitaacha kuchubukaWadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu
Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.
Kwenu wadau.
cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
ahsante sana mkuu kwa muongozoNi kawaida kuchunika sehemu za mapaja ukitembea umbali mrefu kwa mara ya kwanza kutokana na msuguano wa nyama za paja. Jinsi unavoendelea kufanya hayo mazoezi zitaacha kuchubuka
ok ninafanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya ya moyo na faida nyinginezo hasa kujenga misuli ya miguu na maungio yake.Lengo lako la mazoezi ni nini?
asante sana magwiji kwa muongozo.Paka mafuta mgando mengi ya kutosha sehemu za mapajani kwenye kona kona humo na usivae nguo za ndani nyingi. Vaa chache ikiwezekana vaa ambazo ni loose na sio tight
Jitahidi kutanua miguu unapotembea piaWadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu
Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.
Kwenu wadau.
cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
Mkuu 15km unachosha mwoyo mapafu na misuru maanake vitachoka haraka sana.......work out ya 25minutes kwa siku inatosha kwa manaume mwenye milo mizuri kwa sikiok ninafanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya ya moyo na faida nyinginezo hasa kujenga misuli ya miguu na maungio yake.
Vaa ya hivi utakuja kunishukuru mkuu..🤣Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu
Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.
Kwenu wadau.
cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
milo mizuri tunatoa wapi mkuu maisha haya ya chai na chapati 2.Mkuu 15km unachosha mwoyo mapafu na misuru maanake vitachoka haraka sana.......work out ya 25minutes kwa siku inatosha kwa manaume mwenye milo mizuri kwa siki
😃Vaa ya hivi utakuja kunishukuru mkuu..🤣
Duh 😀Tuma picha kwanza ya hayo mapaja
haha mkuu wengine tuna tupu za mbele kubwa. ila naona zile tight za wanamichezo ni suluhu ya kudumu.Unakimbia umevaa mBOXER wa nini.. ?