Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu

Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.

Kwenu wadau.

cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
 
Lengo lako la mazoezi ni nini?
 
Ni kawaida kuchunika sehemu za mapaja ukitembea umbali mrefu kwa mara ya kwanza kutokana na msuguano wa nyama za paja. Jinsi unavoendelea kufanya hayo mazoezi zitaacha kuchubuka
 
ahsante sana mkuu kwa muongozo
umetisha big up
 
Paka mafuta mgando mengi ya kutosha sehemu za mapajani kwenye kona kona humo na usivae nguo za ndani nyingi. Vaa chache ikiwezekana vaa ambazo ni loose na sio tight
 
Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu

Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.

Kwenu wadau.

cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
Jitahidi kutanua miguu unapotembea pia
 
ok ninafanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya ya moyo na faida nyinginezo hasa kujenga misuli ya miguu na maungio yake.
Mkuu 15km unachosha mwoyo mapafu na misuru maanake vitachoka haraka sana.......work out ya 25minutes kwa siku inatosha kwa manaume mwenye milo mizuri kwa siki
 
Usivae underwear kama hutojali.
Huwa nakimbia bila undewear maana huwa zinaharibika sana na jasho, ukishafanya mazoezi mara mbili huwa inabadilika kabisa, kama unashindwa kutembea bila kuvaa vaa Jersey shorts.
 
Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu

Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.

Kwenu wadau.

cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
Vaa ya hivi utakuja kunishukuru mkuu..🤣
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    60.5 KB · Views: 7
Mkuu 15km unachosha mwoyo mapafu na misuru maanake vitachoka haraka sana.......work out ya 25minutes kwa siku inatosha kwa manaume mwenye milo mizuri kwa siki
milo mizuri tunatoa wapi mkuu maisha haya ya chai na chapati 2.
pia kwa maisha yetu ile daily recommended allowance ya lishe hatuipati. bora tunywe maji mengi, mazoezi na kupata vi supplement tukipata tu hela twa ziada
 
Back
Top Bottom