Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

Paka mafuta ya Nazi wakati wa kukimbia
 
Sijui hapo tatizo lipo kwenye nguo ama, misuguano ya nyama, kama ni nguo tafta nguo loose za michezo. Kama ni mwili mnene pambana na hali tatizo mnanenepeana kupindukia
 
haha mkuu wengine tuna tupu za mbele kubwa. ila naona zile tight za wanamichezo ni suluhu ya kudumu.
Vaa tight ya mazoezi, kisha juu vaa bukta pana juu, ili ndonga isionekane.
 
Piga squart kila cku ukiwa umetanua miguu itazuia kusuguana, kama hutofany ivo utakua unatoa haruf mbaya na kua na mapaja meusi kama ngoz ya fisi
 
Vaa boxer inatobana mapaja na hayo makengele yako. Lakini pia km 15 ni nyingi sana kama ndo unaanza mazoezi. Anza na km 5 kama wiki then km 10 Kwa mwezi Moja. Baada ya hapo nenda huko km 15
 
Piga squart kila cku ukiwa umetanua miguu itazuia kusuguana, kama hutofany ivo utakua unatoa haruf mbaya na kua na mapaja meusi kama ngoz ya fisi
mkuu weusi si ndio rangi yetu 😃 sio mbaya.
 
Suluhisho hapo ni kuachana na Hayo Mazoezi Tafuta mazoezi mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…