Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu

Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.

Kwenu wadau.

cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
Paka mafuta ya Nazi wakati wa kukimbia
 
Sijui hapo tatizo lipo kwenye nguo ama, misuguano ya nyama, kama ni nguo tafta nguo loose za michezo. Kama ni mwili mnene pambana na hali tatizo mnanenepeana kupindukia
 
Piga squart kila cku ukiwa umetanua miguu itazuia kusuguana, kama hutofany ivo utakua unatoa haruf mbaya na kua na mapaja meusi kama ngoz ya fisi
 
Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu

Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.

Kwenu wadau.

cc: Southern Highland
DR MAMBO Jambo
Vaa boxer inatobana mapaja na hayo makengele yako. Lakini pia km 15 ni nyingi sana kama ndo unaanza mazoezi. Anza na km 5 kama wiki then km 10 Kwa mwezi Moja. Baada ya hapo nenda huko km 15
 
Piga squart kila cku ukiwa umetanua miguu itazuia kusuguana, kama hutofany ivo utakua unatoa haruf mbaya na kua na mapaja meusi kama ngoz ya fisi
mkuu weusi si ndio rangi yetu 😃 sio mbaya.
 
Suluhisho hapo ni kuachana na Hayo Mazoezi Tafuta mazoezi mengine
 
Back
Top Bottom