Masonic 666
Senior Member
- Dec 15, 2017
- 128
- 213
Nataka mwaka huu niache rasmi kupiga punyeto.
Jana nilianza kuacha leo nimepiga cha mwisho mwisho labla sijaingia darasani akyamungu hii ndo punyeto yangu ya mwisho sipigi tenaaaaa.
Nilianza punyeto tangu nikiwa na miaka 12 mpaka leo miaka 26 ndo nimehitimisha.
Bye bye punyeto umenitesa sana ,umeniharibia sana maisha,nimekuwa mtu wa kupenda kulala lala na kughairi mambo kisa tu nipate muda mwingi wa kupiga nyeto.
Nimechelewa kuingia darasani vipindi vya asubuhi na kuchelewa hata kwenye mitihani kwa ajili tu ya kupiga nyeto.
Kulalaleki sipendagi mazoea na vitu vya kijinga jinga ngoja niachane nayo mazima