Huna mamlaka ya kuniambia niandike nini hapa JF, ukiona nilichoandika hakina maana pita tu sio lazima uchangie.Sasa waeleze watu kuusu aina yako ya mazoezi kama uwelewi faida ya aina ya mazoezi ya free weight achana nayo sio kuponda tu
Watu wanashangaa tu huyu dada mbona yuko fit au anahudhuria Gym....
Mazoezi chumbani muhimuKwanini?
Hapa ongezea haya...Jogging,sit ups,push ups zinatosha kukufanya uwe fit.
Alafu kama ndio umeanza mazoezi mwezi huu basi hizi data zako nna mashaka nazo!! ila kama ni kweli hongera sanaJioni napiga push ups 300 siku tano kwa wiki. Hizi push ups napiga 30 mkupuo mmoja, zoezi zima huwa linachukua nusu saa.
Hii ni artificial mkuu yaani sawa na kuku wa kisasa!! mazoezi ya kukimbia ni mazuri kama ukiwa nje haya ya mashine huwezi linganisha na mtu anyekimbia nje!!Ni bora ukanunua baiskeli na mashine ya Kukimbia ukaiweka chumbani kwa raha zako zipo game Mlimani city
Umetisha....kwasasa hivi kichurachura hapana,nisije nikafyatua ACL.Hapa ongezea haya...
1. Kuruka kamba (nunua kamba yenye rubber material au ngozi....haizidi buku tano)!
2. Piga squats (Hili ukipiga mwezi mmoja miguu inakua na misuli kama akina cristiano ronaldo)
3. Ruka kichura chura (halina tofauti sana na squats ila hili ni zuri sana pia)
MAZOEZI NIMEANZA TOKEA NIKIWA FORM 3, NIKIVUSHA WIKI BILA KUFANYA MAZOEZI NAHISI KAMA NAUMWA!!!
Sana Tuuu..wewe vipi unafanya mazoezi?
Nafanya mazoezi tangu vidudu....nikisema nimeanza ina maana kuna kipindi niliacha. Kwa jinsi nilivyo huwa nahitaji wiki tu kurudi kwenye peak yangu ambayo ni kukimbia hata zaidi ya one hour, i was an active bball player kabla sijaumia mgongo. Niliwahi ku-post humu katika thread moja ya mazoezi kuwa niliumia mgongo nikawa siwezi kutembea hata mita mia bila kukaa chini, nashukuru Mungu nime-recover, nilianza mazoezi mwaka jana mwanzoni hivi complications zikarudi nikastop, now im good to go!Alafu kama ndio umeanza mazoezi mwezi huu basi hizi data zako nna mashaka nazo!! ila kama ni kweli hongera sana
Kama huwezi kichura chura basi ruka kamba na squarts (kama hulijui angali youtube utajifunza jinsi ya kupiga) hutojuta!!!Umetisha....kwasasa hivi kichurachura hapana,nisije nikafyatua ACL.
Hapa nimekupata mkuu!! uko sahihi!!Nafanya mazoezi tangu vidudu....nikisema nimeanza ina maana kuna kipindi niliacha. Kwa jinsi nilivyo huwa nahitaji wiki tu kurudi kwenye peak yangu ambayo ni kukimbia hata zaidi ya one hour, i was an active bball player kabla sijaumia mgongo. Niliwahi ku-post humu katika thread moja ya mazoezi kuwa niliumia mgongo nikawa siwezi kutembea hata mita mia bila kukaa chini, nashukuru Mungu nime-recover, nilianza mazoezi mwaka jana mwanzoni hivi complications zikarudi nikastop, now im good to go!
Mkuu sasa hivi nafanya mazoezi kwa afya tu, sio kivile ndio maana unaona naishia push ups na kukimbia tu.Kama huwezi kichura chura basi ruka kamba na squarts (kama hulijui angali youtube utajifunza jinsi ya kupiga) hutojuta!!!
Kitu kinanishangaza kuhusu mazoezi hasa ya kukimbia, ni kwamba...saa unaanza mazoezi unaweza tamani uache yaani unahisi as if ni magumu kweli na mwili hautaki ila unapokaribia kumaliza unajikuta unatamani kuendelea!!! hii hali inanitokeaga sana nnapofanya mazoezi hasa kukimbia!!!
Una uhakika?Hii ni artificial mkuu yaani sawa na kuku wa kisasa!! mazoezi ya kukimbia ni mazuri kama ukiwa nje haya ya mashine huwezi linganisha na mtu anyekimbia nje!!
Ndi nna uhakika.Una uhakika?