Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

@PRONDO wenzangu simu mnawekaje wakati mnakimbia maana Mimi nikienda umbali Fulani hilo jashooooo ,mhm mnawekaje
Kuna kasha maalum zinauzwa kwa ajili ya kuweka simu wakati wa kukimbia, huwa unaifunga kwenye mkono.
1653553526448.png
 
Hongereni wote mnaofanya mazoezi either nyumbani, barabarani na viwanjani .si jambo jepesi linahitaji kujitoa sana...tuendelee kupambana Afya ndio mtaji wa kwanza ...kwa Wale tunaojiandaa na CRDB ,NBC marathon 2022 kila lakheri..Mimi najifua kwa km 42 CRDB marathon
 
42km umetisha!
 
Back
Top Bottom