Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuombea upone fasta na urudi kwenye mchezo tuupendao #run!!!Lack of consistency na majeraha ya goti daah! I miss long run.
42km umetisha!Hongereni wote mnaofanya mazoezi either nyumbani, barabarani na viwanjani .si jambo jepesi linahitaji kujitoa sana...tuendelee kupambana Afya ndio mtaji wa kwanza ...kwa Wale tunaojiandaa na CRDB ,NBC marathon 2022 kila lakheri..Mimi najifua kwa km 42 CRDB marathon
Wanaoenda Gym hawaendi kwa mazoezi tu bali pia kuangalia mwenza wa kunyanduana nae. Hiyo ya nyumbani hata miki huwa nafanya mbona iko poa tu.Hata mimi napigiaga chumbani tu, nashangaa wanaohangaika na Gym
Tutakutana DodomaDodoma NBC marathon loading.....followed by CRDB marathon
Sawa sawaTukutane Capital city