Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Mmeanza na lugha zenu za riadha imebidi nipata msaada wa google, hivi pace ni nini ndugu mdau? ila nime-gugo ni kama dakika unazotumia katika umbali flani lets 6 minutes in 1 mile (ni sahihi kama nilivyoelewa kwa msaada wa google)
Sawa kabisa!
Pia chukua misamiati ifuatayo;
1.Kudos- Well done, Good attempt
2. PR- personal records
3. Ki-bus group la watu zaidi mmoja wanaokimbia kwa pace inayofanana kwa umbali fulani
4. Charu-Kimbia
5.Strava- application inayotumika kutunza taarifa za mazoezi!!
#Run4fun
#Run4health
Karibu kwenye ulimwengu wa mbio!!!
 
Ahsante kiongozi maana ilibidi niende google ili mkija kuweka record sawa nakuwa nimeelewa vizuri, shukrani kwa misamiati mipya
 
Mmeanza na lugha zenu za riadha imebidi nipata msaada wa google, hivi pace ni nini ndugu mdau? ila nime-gugo ni kama dakika unazotumia katika umbali flani lets 6 minutes in 1 mile (ni sahihi kama nilivyoelewa kwa msaada wa google)
Uko sawa ila kwetu ni dakika/km. Mwenye namba ndogo ndio mwenye Kasi kubwa.
 
Sema watu wenye miili hata ukiangalia mambo Yao ndomana mna miili. The way I do everyday things from simply walking to daily housechores unaona kabisa natumia nguvu/speed, zoezi tosha.
 
Sema watu wenye miili hata ukiangalia mambo Yao ndomana mna miili. The way I do everyday things from simply walking to daily housechores unaona kabisa natumia nguvu/speed, zoezi tosha.
Mie kwa Watanzania wanaopenda kutembea na mimi naweza kuwemo kwenye list.

ANGALIZO: Kwa Watanzania wanaoishi mjini maana kijijini kutembea ni issue ya kawaida
 
Mie kwa Watanzania wanaopenda kutembea na mimi naweza kuwemo kwenye list.

ANGALIZO: Kwa Watanzania wanaoishi mjini maana kijijini kutembea ni issue ya kawaida
Sasa sijajua "kupenda kutembea" umemaanisha nini, I don't go walking long distances for no reason 😅 , kwani bodaboda bei gani!

Sema there's no hurry in Africa aisee, watu wanavyotembea!!
 
Sasa sijajua "kupenda kutembea" umemaanisha nini, I don't go walking long distances for no reason 😅 , kwani bodaboda bei gani!

Sema there's no hurry in Africa aisee, watu wanavyotembea!!
Mkuu uzi si unazungumzia mazoezi? na sio shida ya nauli ya bodaboda na comment yako #513 ndo ikanifanya niweke msisitizo wa sie wazee wa kutembea which means kwa maeneo nayoyamudu na ratiba inaruhusu mara nyingi naamua kutembea. Ndio maana nikasema napenda kutembea kama sehemu ya mazoezi na wala sio lazima iwe long distance. (sometimes vipande vidogo vidogo kutoka point A kwenda B alafu unaendelea na other means of transport).
 
Uta grow tu mkuu, nakumbuka mm pia it was the same but kidogokidogo nikakuwa hadi nimefika 43kms but this year nataka nitoboe zaidi!!!
@PRONDO wenzangu simu mnawekaje wakati mnakimbia maana Mimi nikienda umbali Fulani hilo jashooooo ,mhm mnawekaje
 
@PRONDO wenzangu simu mnawekaje wakati mnakimbia maana Mimi nikienda umbali Fulani hilo jashooooo ,mhm mnawekaje
Kuna arm bag au beg ya kufunga kiunoni ni vibeg vidogo vina water proof, vinapatikana mtumbani au kwenye maduka ya vifaa vya michezo.

Wauzaji pia huwa wanakuwa navyo kwenye mikusanyiko ya mbio unaweza vipata pia!!
 
Back
Top Bottom