Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

gym tunaenda ku-show off na kutizama misambwanda ya wadada vibonge wa mjini.
Ha ha ha shida ni pale unapotaka kushindana na mdada kwenye treadmill halafu unachemsha.dakika kumi tu huku yeye akipiga saa nzima.
 
Ila wakuu kufanya Mazoezi uku una njaa unaweza jikuta upo kuzmu aiseee
 
Do u use all those equipments?

I’d say I use 90% of it.

Halafu bana natafuta gym nzuri hapa Dar.

Zote ambazo nishazicheki nimeishia kuwa disappointed tu. Monthly dues kuuubwa halafu vifaa hakuna!!

Any recommendations?
 
I’d say I use 90% of it.

Halafu bana natafuta gym nzuri hapa Dar.

Zote ambazo nishazicheki nimeishia kuwa disappointed tu. Monthly dues kuuubwa halafu vifaa hakuna!!

Any recommendations?
anywhere in Dar?
 
Mazoezi ni dawa nzuri sana ya magonjwa mbalimbali pamoja na ubongo kufanya kazi. Mimi nafanya jogging kwa dk 15, viungo kwa dk 15 na pushups kwa dk 15. Nilianza mwaka 2002 nikiwa 33yrs bado naendelea sasa hivi nipo 49yrs. Napenda kufanya 4-5 days a week. Tupende mazoezi jamani
Duh! mkuu kwa mazoez hayo si unaonekana kijana, ukimwambia mtu una 49yrz sina uhakika kama atakubaliana na wewe
 
Nmeanza mazoezi siku nne zilizopita ni mazoezi ya jogging na ya viungo, app nliyokuwa nayo inaniambia nakata wastani wa calories 500 per day, je ni wastan mzuri ama vp?
 
Nmeanza mazoezi siku nne zilizopita ni mazoezi ya jogging na ya viungo, app nliyokuwa nayo inaniambia nakata wastani wa calories 500 per day, je ni wastan mzuri ama vp?
Hongera mkuu. Ila unaweza kukata 500 calories ukala 2000!
 
Lightweight baby...

5BCDE200-8F97-4AA4-9264-649219D8BED1.jpeg
 
Je niongeze kukata ama ni sawa maana nina uzito wa kg 91 na urefu 176 cm umri 31
 
Nmeanza mazoezi siku nne zilizopita ni mazoezi ya jogging na ya viungo, app nliyokuwa nayo inaniambia nakata wastani wa calories 500 per day, je ni wastan mzuri ama vp?
Mkuu bwii app gani Mimi naitaka
 
Back
Top Bottom