Nimeanza Ommy Dimpoz, wengine mnafuata

Nimeanza Ommy Dimpoz, wengine mnafuata

Muda sio mrefu Ommy Dimpoz, alimjibu Diamond baada ya Diamond kuimba verse nyingine ya pili.

Ommy alipost picha aliyopiga na Mama yake mzazi wa Diamond akichukua uhusika wa baba yake Diamond, yaani yeye ni mume wa mama Diamond.

Niliposoma sikupendezwa na caption alizotumia kumjibu Diamond akiwa anamdharilisha na Mama yake mzazi pia.

Nawashukuru instagram kwa kuwa responsive baada ya mimi kui-report hiyo post ya Dimpoz na kuifuta mara moja.

Nilii-report kuwa : It's inappropiate

Sababu : Harassment or bullying

Muhusika : Celebrity or Public figure

Napenda hii iwe ni operation endelevu kuanzia sasa pale unapoona watu wakivuka mipaka ya kujitambua, hususani hawa wanaoshindwa kuheshimu hata mama zao wazazi. Report tu! Siku hizi hii mitandao ipo very serious kwenye suala zima la kutokomeza ujinga.

Mabifu yenu muyamalize nyie kwa nyie. Mama zenu msiwahusishe kwenye ujinga wenu.
Unataka tu sifa,mbona bado ipo?
 
Lakini hii iwe fundisho pia kwa Diamond na mama yake..

Kuna umri kama mzazi ukifika inabidi ukae nyumbani utulie au utulie katika shughuli zako.. Kila kitu kinafanywa kulingana na umri..

Ukishindwa kujua nini ufanye katika umri ulionao watu watakudharau tu!

Mtoto kuwa maarufu sio lazima na wewe kila mtu akujue!
 
We ni mpuuzi hiyo picha ukiireport inatoka kwa account yako tu lakini wengine tunaiona kama huamini chungulia kwa account nyingine uone

Leo tz nzima inamtia hatiani Dimpoz lakini mondi ndio mchokozi na ndie aliyeyataka yote haya cz ana mambo ya kiswahili sana ya chokochoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dimpoz kauaibisha Uislamu. Huwezi post Umevaa Kanzu kisha unaattach caption hizo.
 
Dawa ya moto ni moto. Vumilieni maumivu kidogo
 
Muda sio mrefu Ommy Dimpoz, alimjibu Diamond baada ya Diamond kuimba verse nyingine ya pili.

Ommy alipost picha aliyopiga na Mama yake mzazi wa Diamond akichukua uhusika wa baba yake Diamond, yaani yeye ni mume wa mama Diamond.

Niliposoma sikupendezwa na caption alizotumia kumjibu Diamond akiwa anamdharilisha na Mama yake mzazi pia.

Nawashukuru instagram kwa kuwa responsive baada ya mimi kui-report hiyo post ya Dimpoz na kuifuta mara moja.

Nilii-report kuwa : It's inappropiate

Sababu : Harassment or bullying

Muhusika : Celebrity or Public figure

Napenda hii iwe ni operation endelevu kuanzia sasa pale unapoona watu wakivuka mipaka ya kujitambua, hususani hawa wanaoshindwa kuheshimu hata mama zao wazazi. Report tu! Siku hizi hii mitandao ipo very serious kwenye suala zima la kutokomeza ujinga.

Mabifu yenu muyamalize nyie kwa nyie. Mama zenu msiwahusishe kwenye ujinga wenu.
Huwa sion mantiki ya kuwaita wasanii ni ma-public figure.... kwa uchafu wanaoufanya huwa hawastahili kuitwa "public figures" hawana lolote.... mnakosea saana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kweli anamtia, tutajuaje, maana yule mother hajiheshimu nae

Slippy Gerald, you served football.
Hili linatrend trend kwakweli,japo ni mambo ya wawili wanapokutana fatagha

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom