Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

Unajenga mkoa gani?
 
Nimewapenda bure Mafundi wako ni wasafi mnooo kwenye kazi yao
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Upo mkoa gani bosi
 
mikanda mitatu ? dah umetisha kama ukoma
Alikuwa anaimarisha nyumba si umeona ina kozi 13 kabla ya lenta. Mimi pia nimeweka mkanda kozi ya tatu kwa kuwa nimeipandisha nyumba yangu kozi 12 kabla ya lenta na nne baada ya lenta, jumla kozi 16 wakati wakati wengi nyumba kwa asilimia zaidi ya 80 wanajenga jumla kozi 14
 
Kaka hongera sana. Ujenzi ni mdogo mdogo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…