Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

Mkuu kwani hizo tofali ni za kuchoma?? Au mimi ndo sielewi
ukisoma vizuri kuna sehemu nimetoleaaelezo hilo......
lengo la awali ilikua ni kupunguza matumizi ila utafiti wa haraka saving kwa sababu tu umetumia tofali choma ni ndogo sanaa au hakuna kabisaa
 
ukisoma vizuri kuna sehemu nimetoleaaelezo hilo......
lengo la awali ilikua ni kupunguza matumizi ila utafiti wa haraka saving kwa sababu tu umetumia tofali choma ni ndogo sanaa au hakuna kabisaa
Sawa mkuu
 
Hongera mkuu.. naomba tuwasiliane ukifikia level ya kufanya wiring.. nikufanyie wiring system nzuri.. 0767780909 au WhatsApp 0718944022
 
Hongera sana mdau kwa uthubutu.

Lakini samahani,bati 120 hizo bati ni Mita ngapi?mbona kama nyingi sana ulizinunua ukamkabidhi fundi kisha ukaenda na mambo yako au ulisimama hatua kwa hatua hadi kazi ya paa ikaisha?maana nikiiangalia hiyo nyumba na bati 120pcs akili inakataa.
 
mkuu umesema nyumba hadi hapo ulitumia wastani tofali 1800+... au 2000+? na bei ya tofali moja sh ngapi? hebu niweke sawa hapa.
 
Mbona kama nyumba nzima naona ni tofali za cement na hakuna tope lolote? Au macho yangu tu??
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla na rejareja :-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu pia Tunafanya delivery kwa wakazi wa Dar es salaam
Ofisi zetu zipo Tegeta kibaoni-Bagamoyo road
 
Safi sana mdau. Umerdi tena. Mungu afanye wepesi nardi tena kuchukua mzigo hapo ofisini kwa ndevu. Pamoja
 
January 2023 na mm naanza aise kwa kufuata mwongozo wako huu Mkuu, Salute sana. Halafu mwendelezo wake tuweke Boss
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla na rejareja :-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu pia Tunafanya delivery kwa wakazi wa Dar es salaam
Ofisi zetu zipo Tegeta-Bagamoyo road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…