Nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi

Nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi

Kua msafi>Nunua kipaza sauti >rekodi tangazo >nenda stendi majira kuanzia saa tisa alasir watu wanapoanza kurud kutoka kazini.

Utanishukuru baadae.
 
Unauza bei gani kwa lita moja, kigudulia cha lita tano ni kiasi gani?
 
Jamn nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi naombeni ushaur kwa wenye uzoefu.

Pia namna ya kuitangaza biashara yangu njia gani rahisi
Hakikisha mzigo haupungui sokoni usipoteze wateja
 
Back
Top Bottom