M Mr kev New Member Joined Aug 28, 2023 Posts 1 Reaction score 2 Aug 30, 2023 #1 Jamn nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi naombeni ushaur kwa wenye uzoefu. Pia namna ya kuitangaza biashara yangu njia gani rahisi
Jamn nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi naombeni ushaur kwa wenye uzoefu. Pia namna ya kuitangaza biashara yangu njia gani rahisi
oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 790 Reaction score 2,079 Aug 30, 2023 #2 Kua msafi>Nunua kipaza sauti >rekodi tangazo >nenda stendi majira kuanzia saa tisa alasir watu wanapoanza kurud kutoka kazini. Utanishukuru baadae.
Kua msafi>Nunua kipaza sauti >rekodi tangazo >nenda stendi majira kuanzia saa tisa alasir watu wanapoanza kurud kutoka kazini. Utanishukuru baadae.
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Aug 30, 2023 #3 Unauza bei gani kwa lita moja, kigudulia cha lita tano ni kiasi gani?
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Aug 30, 2023 #4 oko majimaji said: Kua msafi>Nunua kipaza sauti >rekodi tangazo >nenda stendi majira kuanzia saa tisa alasir watu wanapoanza kurud kutoka kazini. Utanishukuru baadae. Click to expand... Golden hour au vipi bhana
oko majimaji said: Kua msafi>Nunua kipaza sauti >rekodi tangazo >nenda stendi majira kuanzia saa tisa alasir watu wanapoanza kurud kutoka kazini. Utanishukuru baadae. Click to expand... Golden hour au vipi bhana
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Aug 30, 2023 #5 Upo mkoa gani Mr kev said: Jamn nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi naombeni ushaur kwa wenye uzoefu. Pia namna ya kuitangaza biashara yangu njia gani rahisi Click to expand...
Upo mkoa gani Mr kev said: Jamn nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi naombeni ushaur kwa wenye uzoefu. Pia namna ya kuitangaza biashara yangu njia gani rahisi Click to expand...
Nelibaba JF-Expert Member Joined Mar 4, 2023 Posts 290 Reaction score 386 Aug 30, 2023 #6 Mr kev said: Jamn nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi naombeni ushaur kwa wenye uzoefu. Pia namna ya kuitangaza biashara yangu njia gani rahisi Click to expand... Hakikisha mzigo haupungui sokoni usipoteze wateja
Mr kev said: Jamn nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi naombeni ushaur kwa wenye uzoefu. Pia namna ya kuitangaza biashara yangu njia gani rahisi Click to expand... Hakikisha mzigo haupungui sokoni usipoteze wateja
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Aug 30, 2023 #7 Ubora uwe mzuri Bei iwe nzuri pia