Nimeanzisha kliniki ya kinywa na meno

Nimeanzisha kliniki ya kinywa na meno

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,744
Reaction score
979
Karibuni kwa matibabu ya kinywa na meno na ushauri -nipo njombe mjini mtaa wa pamba nyepesi nyuma ya stendi kuu-kliniki inaitwa kiyoya dental clinic-karibuni
 
Elimu yako? Sisi hatuhitaji makanjanja wa elimu. Nahitaji qualification zako
 
Mkuu hongera sana kwa kufungua dental clinic.

Mie naomba utoe darasa la usafi wa kinywa na meno. Watanzania wengi wako nyuma kwenye swali hili.

Naomba utaje magonjwa yote na sababu zake hili watu wa kisoma humu wagundue tatizo gani wanalo hili waweze kujua umuhimu wa usafi wa kinywa.

Kwa njia hio mkuu itakua rahisi kuwafanya wale ambao mpaka leo hawaoni umuhimu wa kwenda kusafisha meno kila baada miezi sita kuja kupata uduma kwenye clinic yako au nyingine ilio karibu nao.

Nakutakia kila la kheri kwenye kutoa uduma hii na usichoke kutoa elimu ya usafi wa kinywa.
 
Mkuu nimekupata nashukuru kwa pongezi-naahidi nitafanya hivo kama ulivyoshauri-asante sana na karibu Njombe
 
Mkuu nimekupata nashukuru kwa pongezi-naahidi nitafanya hivo kama ulivyoshauri-asante sana na karibu Njombe

Asante sana mkuu,

Wengi wetu tunaumwa lakini huwa hatujui. Mtu anapiga mswaki anaona fizi zinatoa damu anafikiri kajikwaruza na mswaki kumbe tatizo ni zaidi ya hapo.
 
Mkuu nimekupata nashukuru kwa pongezi-naahidi nitafanya hivo kama ulivyoshauri-asante sana na karibu Njombe

Yaani utoe somo bure tu!! Ushauri mwingine uwe makini nao kwani unahitaji muda kuandaa kitu kizuri, nani ataulipia??! Hii ni kurudishana nyuma labda wadau nao wachange kwa ajili hiyo. Mimi nikija Njombe nitakutafuta umefanya vizuri sana. Wasalimie Kuokoka ni Lazima Guest House na wadau wengine wote
 
Kwa kuanza sio mbaya ndugu -kumbe viwanja vyetu unavipatapata -karibu sana Njombe
 
Hongera kusogeza huduma karibu na wananchi.
Unadhani ungehitaji nini zaidi ili kuifanya kazi yako kwa ufanisi zaidi.
 
Hongera kusogeza huduma karibu na wananchi.
Unadhani ungehitaji nini zaidi ili kuifanya kazi yako kwa ufanisi zaidi.
Mkuu vifaa bado ni tatizo pia elimu ya afya kwa jamii inahitajika
 
tupe profile lako.hiyo ni huduma pia ni biashara so jifunze skills za kujitangaza na biashara yako huoni akina dkt ndod nk?toa somo bure hapa JF then tunajua kunamahita yale ya kitaalamu zaidi lazima mgonjwa uka naye na umuungalie tatizo personaly so watakuja wakuone
 
Karibuni kwa matibabu ya kinywa na meno na ushauri -nipo njombe mjini mtaa wa pamba nyepesi nyuma ya stendi kuu-kliniki inaitwa kiyoya dental clinic-karibuni

Asante sana mkuu. Maana na zile pombe zetu za ulanzi na Komoni...vinywa vyetu havipigi busu....
 
Je huduma ya kubadili meno ya rangi rangi maarufu meno ya arusha kuwa myeupe ipo?, Please let me know!
 
Je huduma ya kubadili meno ya rangi rangi maarufu meno ya arusha kuwa myeupe ipo?, Please let me know!
 
kudos kwa kuonesha mfano kwa kile ulichotumwa na wananjombe.. ni poa sana..
 
Je huduma ya kubadili meno ya rangi rangi maarufu meno ya arusha kuwa myeupe ipo?, Please let me know!
Hongera sana daktari naomba umjulishe vilevile mkurugenzi wako wa zamani ambaye yupo hapo njombe ili aweze kukutangazia biashaea yako kwa watumishi wa njombe, usisahau kuwaambia jamaa wa iringa vijijini ulikotoka ili waweze kujua ya kwamba kila kitu kinawezekana mkuu. once again bravo and god bless you usikate tamaa hata roma haikujengwa kwa siku moja na hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Back
Top Bottom