Nimeanzisha kliniki ya kinywa na meno

Nimeanzisha kliniki ya kinywa na meno

tupe profile lako.hiyo ni huduma pia ni biashara so jifunze skills za kujitangaza na biashara yako huoni akina dkt ndod nk?toa somo bure hapa JF then tunajua kunamahita yale ya kitaalamu zaidi lazima mgonjwa uka naye na umuungalie tatizo personaly so watakuja wakuone
Hiyo ni moja ya mipango yangu ndugu tuombe uzima
 
Hongera sana daktari naomba umjulishe vilevile mkurugenzi wako wa zamani ambaye yupo hapo njombe ili aweze kukutangazia biashaea yako kwa watumishi wa njombe, usisahau kuwaambia jamaa wa iringa vijijini ulikotoka ili waweze kujua ya kwamba kila kitu kinawezekana mkuu. once again bravo and god bless you usikate tamaa hata roma haikujengwa kwa siku moja na hata mbuyu ulianza kama mchicha
Dunia ndogo eeh!shwari mkuu karibu njombe
 
tupe profile lako.hiyo ni huduma pia ni biashara so jifunze skills za kujitangaza na biashara yako huoni akina dkt ndod nk?toa somo bure hapa JF then tunajua kunamahita yale ya kitaalamu zaidi lazima mgonjwa uka naye na umuungalie tatizo personaly so watakuja wakuone
Mkuu nashukuru kwa ushauri umefika
 
Nisaidieni kwa Dar nitapata wapi hii huduma na kama wanakubali kadi ya AAR.
Blessed
 
Nisaidieni kwa Dar nitapata wapi hii huduma na kama wanakubali kadi ya AAR.
Blessed
Fast Track- Muhimbili kuna huduma nzuri pale nadhani wanakubari AAR card
 
Hongera Dr, na kila kitu kina mwanzo, ndugu zangu yuwe teyari kumpa ushirikiano katika suala la afya
Karibuni kwa matibabu ya kinywa na meno na ushauri -nipo njombe mjini mtaa wa pamba nyepesi nyuma ya stendi kuu-kliniki inaitwa kiyoya dental clinic-karibuni
 
Back
Top Bottom