Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,744
- 979
- Thread starter
- #21
Hiyo ni moja ya mipango yangu ndugu tuombe uzimatupe profile lako.hiyo ni huduma pia ni biashara so jifunze skills za kujitangaza na biashara yako huoni akina dkt ndod nk?toa somo bure hapa JF then tunajua kunamahita yale ya kitaalamu zaidi lazima mgonjwa uka naye na umuungalie tatizo personaly so watakuja wakuone