Mkuu nimekupata nashukuru kwa pongezi-naahidi nitafanya hivo kama ulivyoshauri-asante sana na karibu Njombe
dds-muhimbili 2009
Mkuu nimekupata nashukuru kwa pongezi-naahidi nitafanya hivo kama ulivyoshauri-asante sana na karibu Njombe
Kwa kuanza sio mbaya ndugu -kumbe viwanja vyetu unavipatapata -karibu sana NjombeYaani utoe somo bure tu!! Ushauri mwingine uwe makini nao kwani unahitaji muda kuandaa kitu kizuri, nani ataulipia??! Hii ni kurudishana nyuma labda wadau nao wachange kwa ajili hiyo. Mimi nikija Njombe nitakutafuta umefanya vizuri sana. Wasalimie Kuokoka ni Lazima Guest House na wadau wengine wote
Karibuni kwa matibabu ya kinywa na meno na ushauri -nipo njombe mjini mtaa wa pamba nyepesi nyuma ya stendi kuu-kliniki inaitwa kiyoya dental clinic-karibuni
Hongera sana daktari naomba umjulishe vilevile mkurugenzi wako wa zamani ambaye yupo hapo njombe ili aweze kukutangazia biashaea yako kwa watumishi wa njombe, usisahau kuwaambia jamaa wa iringa vijijini ulikotoka ili waweze kujua ya kwamba kila kitu kinawezekana mkuu. once again bravo and god bless you usikate tamaa hata roma haikujengwa kwa siku moja na hata mbuyu ulianza kama mchichaJe huduma ya kubadili meno ya rangi rangi maarufu meno ya arusha kuwa myeupe ipo?, Please let me know!