Nimeapply field tangu mwezi 4 bado sijapata field. Naomba usaidizi

Mpambanaji17

Senior Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
100
Reaction score
181
Habari zenu Wana JF.

Nimeapply Kwa Ajili ya Field Tangia mwezi wa 4 ila bahati mbaya mpaka sasa sijapata field.

Mwenye msaada anisaidie tafadhari Tunaanza field tarehe 21/7 na kumaliza tarehe 12/9 nipo mwaka wa pili UDSM Course ni BCOM IN BANKING AND FINANCIAL SERVICES.

Natanguliza shukrani
 
Pole mwanangu jikaze kama field tu ni hivyo ungeomba kazi si ndo ingekua balaa, maisha haya😪😪
 
P PEleka barua yako peke yako Bank of Baroda posta na commercial bank of Tanganyika pale mikocheni Shoppers plaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…