Nimeathirika na kujichua, nakosa hamu ya tendo, nifanyeje?

Nimeathirika na kujichua, nakosa hamu ya tendo, nifanyeje?

anza kujipiga dole utaona mwenyw unaacha kujichua
 
habari,nyeto sio jambo jema sana,linaharibu maisha yako ya mapenzi ya siku za usoni.Wakati mwingine unaweza ukawa unasali sana lakini hali hii ya kupiga nyeto isiondoke,dawa ya mwili ni mwili,fanya mazoezi ya kutosha,acha kuangalia picha za ngono au kupiga story za ngono.Kila jambo na wakati wake itafika wakati litakwisha.
 
Back
Top Bottom