Nimeathirika na upigaji wa chabo

sasa unajuaje zimbo flani nkienda lazma nkute mechi au unazunguka kila nyumba mpaka ukutane na show ?
 
Mkuu Hicho Ni Kipaji Chako Hapo Tafuta Namna Kianze Kukuingizia Kipato. (Motivational speaker's voice)
 
Jamaa pale Mwananyamala Msisiri bar na gesti ya Kamanyola allikuwa na tabia ya kupiga chabo yani alikuwa radhi hata kulipia na alikuwa mtemi haonyeki
Wahuni wakamfundisha adabu kwa njia ngumu mno
Wakatafutwa wahuni wa Magomeni mmoja anamtongoza maza ake na kumpa kilaji kisha akamuingiza chumbani gesti na kumla sefuli.. [emoji23] jamaa akajikuta anamla chabo mamaake!
 
yaani nauliza mlikuwa wapiga chabo wangapi wakati jamaa anawapa hiyo story? HALAFU KWENU WAPI KUNA VIJIWE VIWILI TU? Huoni fursa ya kuanzisha kijiwe chako?
 
We ulijuaje mkuu.. [emoji23] Nishawahi isikia sehemu hii
 
Wewe sio Zero Brain wa Coco Beach kweli?
 
Unateseka bure jipige mwenyewe
 
Wewe sio Zero Brain wa Coco kweli?
 
Ukilala deluxe hotel chumba namba 7,9 na 19 unaona Kila kitu vyumba vilivyo kishamapanda hotel,wale watu Huwa hawazimi taa Wala kuvuta mapazia kwenye madirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…