Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa pale Mwananyamala Msisiri bar na gesti ya Kamanyola allikuwa na tabia ya kupiga chabo yani alikuwa radhi hata kulipia na alikuwa mtemi haonyekiNjemba Soro.
Mshana Jr
Liverpool VPN
Hamjawahi kukaa maskani, maskani kuna watu wa aina tofauti tofauti.. Kwa pale mtaani vijiwe vikuu ni viwili, kuna banda la soka na pooltable, kuna kuwa na watu tofauti tofauti.. We huna stori za watu wengine nawe tabia hiyo huna!?
Haina haja ya kuelezea saana mnaweza tafsir mnavyoona inawependeza.
yaani nauliza mlikuwa wapiga chabo wangapi wakati jamaa anawapa hiyo story? HALAFU KWENU WAPI KUNA VIJIWE VIWILI TU? Huoni fursa ya kuanzisha kijiwe chako?Njemba Soro.
Mshana Jr
Liverpool VPN
Hamjawahi kukaa maskani, maskani kuna watu wa aina tofauti tofauti.. Kwa pale mtaani vijiwe vikuu ni viwili, kuna banda la soka na pooltable, kuna kuwa na watu tofauti tofauti.. We huna stori za watu wengine nawe tabia hiyo huna!?
Haina haja ya kuelezea saana mnaweza tafsir mnavyoona inawependeza.
We ulijuaje mkuu.. [emoji23] Nishawahi isikia sehemu hiiJamaa pale Mwananyamala Msisiri bar na gesti ya Kamanyola allikuwa na tabia ya kupiga chabo yani alikuwa radhi hata kulipia na alikuwa mtemi haonyeki
Wahuni wakamfundisha adabu kwa njia ngumu mno
Wakatafutwa wahuni wa Magomeni mmoja anamtongoza maza ake na kumpa kilaji kisha akamuingiza chumbani gesti na kumla sefuli.. [emoji23] jamaa akajikuta anamla chabo mamaake!
Wewe sio Zero Brain wa Coco Beach kweli?Kwema jamani?
Kuna tabia ninayo na naona kabisa imekua kama addiction yangu.kwa kifupi napenda sana kupiga chabo watu wakiwa faragha,yani huwa nafurahia kuwachungulia watu wakiwa wanakulana,majirani zangu wote wsmeshanistukia na wengine wamenipa onyo tayari.
Je naweza kuacha vipi hii tabia wakuu?
TanzaniaUnaishi wapi huko?
Hama huko uswekeni,itakusaidiaTanzania
Unateseka bure jipige mwenyeweKwema jamani?
Kuna tabia ninayo na naona kabisa imekua kama addiction yangu.kwa kifupi napenda sana kupiga chabo watu wakiwa faragha,yani huwa nafurahia kuwachungulia watu wakiwa wanakulana,majirani zangu wote wsmeshanistukia na wengine wamenipa onyo tayari.
Je naweza kuacha vipi hii tabia wakuu?
Wewe sio Zero Brain wa Coco kweli?Kwema jamani?