Nimeathirika wapendwa?

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
Mie ni mvulana wa miaka 26, nilipo balehe tu{ nakumbuka nlikuwa na miaka 15} nilianza ka mchezo ka punyeto! Nlpochaguliwa bwen ckuwa na naruka fens kwenda kutafuta vibinti. Nilkuwa nafanya vizur sana hivyo na nidhamu ile nilfika chuo kikuu. Chuon bado nliwaogopa wasichana hata 'kunjunja' ilikuwa mara chache hasa wale mabint wapweke. Nimemalza chuo na sasa najiendeleza kimasomo ili kuongeza ujuz lkn kale kamchezo nimeshndwa kukaacha! Je nitakuwa nimeathirika? Nifanye nini niache? Msaada tafadhal
 
Hebu Nenda JF doctor kuna thread kama hiuzi kibao utapata mawaidha kule!
 
Kama haionyeshi dalili ya kukatika ama kunyauka bado haujaathirika. Endeleza kiduchu.
 
huu mchezo ukiuanza huuachi. maana hata ukioa mkeo akizingua au asipokuwepo muda unajopa raha mwenyeweee
 
nilijua ngoma kumbe yale magoli ya mkono wa maradona
 
Unajua jinsi ya kukausha mti? Unauchuna magamba kuzunguka shina kwa mwanzo palee. Sasa naniliu kama bado hajaichuna base vizuri utasemaje kaathirika?
hahaha sasa kama mingine ukichuna ndai tu inakauka sio mpaka nje lol
 

Kama wasomi wetu wapo hivi kiasi cha kushindwa ku solve matatizo madogo kama haya naamini kabisa makubwa itakuwa shida.

Kupiga punyeto inahitaji ushauri!!!

Kifupi achana na hiyo tabia kwani wanawake hamna?? Tafuta wanawake ila uache tabia ya kuwaona wachafu maana punyeto ni tofuti na kutia demu.

Hilo ndiyo tatizo kubwa sana la wanaume wanaopiga punyeto.

Aidha ujifunje kubembeleza wanawake maana wanahitaji hivyo tofauti na punyeto ambayo mhusika ni mtu mmoja.

Mwisho ili uweze kuwapata lazima uongeze confidence vinginevyo utaonekana mtoto si rizki au kudharauliwa na wanawake kwasababu huwezi kuwashawishi.
 
pole sana,sidhani kama utaacha hata ukioa,ishi kwa matumaini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…