kinyangesi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 247
- 86
Mie ni mvulana wa miaka 26, nilipo balehe tu{ nakumbuka nlikuwa na miaka 15} nilianza ka mchezo ka punyeto! Nlpochaguliwa bwen ckuwa na naruka fens kwenda kutafuta vibinti. Nilkuwa nafanya vizur sana hivyo na nidhamu ile nilfika chuo kikuu. Chuon bado nliwaogopa wasichana hata 'kunjunja' ilikuwa mara chache hasa wale mabint wapweke. Nimemalza chuo na sasa najiendeleza kimasomo ili kuongeza ujuz lkn kale kamchezo nimeshndwa kukaacha! Je nitakuwa nimeathirika? Nifanye nini niache? Msaada tafadhal