Nimeathirika wapendwa?



Hujaathirika kijana ila tu labda nikupe pongezi kwani kwa punyeto upigayo inakusaidia kujiingiza kwenye mapenzi feki na mademu wa hapa Dar na pia unasevu pesa za kwenda gesti ile mbaya. Ila itabidi upunguze kwani kuna wakati utaona mwanamke hana thamani kwako ila mkono tu ndiyo una raha kwako.
 

kumbe? Dah! Nliogopa maana washkaj waliniambia eti ntashndwa kusimamisha miaka ijayo, wengine matatizo ya moyo na wapo walosema ndo sababu ya kutokuona vizur(natumia miwan)
 
dah hizi thread zinaboa hadi basi sasa
kila wiki lazima aje mtu na ishu hiii hii
mi huwa najiuliza ni kuwa sasa hv wanawake hakuna au?mbn zamani ndo ilikuwa zaiid kupata mtu wa kumalizana nae ?
sa hz K zooote hiz barabarani bado vijana wanajipa umaradona tu!tena kwa kiasi kikubwa hv????
naendelea kujiuliza sipati jibu!
ila nyeto ni HIGH DEGREEE OF SELFISHNESS!kuna tatizo lingine zaidi ya hili tunalolisoma humu kila siku!:A S 39:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…