Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Sasa ndani unachunaje. Hebu nipe maujuvi lol
unatumia msaada wa vijidudu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndani unachunaje. Hebu nipe maujuvi lol
Mie ni mvulana wa miaka 26, nilipo balehe tu{ nakumbuka nlikuwa na miaka 15} nilianza ka mchezo ka punyeto! Nlpochaguliwa bwen ckuwa na naruka fens kwenda kutafuta vibinti. Nilkuwa nafanya vizur sana hivyo na nidhamu ile nilfika chuo kikuu. Chuon bado nliwaogopa wasichana hata 'kunjunja' ilikuwa mara chache hasa wale mabint wapweke. Nimemalza chuo na sasa najiendeleza kimasomo ili kuongeza ujuz lkn kale kamchezo nimeshndwa kukaacha! Je nitakuwa nimeathirika? Nifanye nini niache? Msaada tafadhal
Hujaathirika kijana ila tu labda nikupe pongezi kwani kwa punyeto upigayo inakusaidia kujiingiza kwenye mapenzi feki na mademu wa hapa Dar na pia unasevu pesa za kwenda gesti ile mbaya. Ila itabidi upunguze kwani kuna wakati utaona mwanamke hana thamani kwako ila mkono tu ndiyo una raha kwako.
kweli bwana dah..!!dah hizi thread zinaboa hadi basi sasa
kila wiki lazima aje mtu na ishu hiii hii
mi huwa najiuliza ni kuwa sasa hv wanawake hakuna au?mbn zamani ndo ilikuwa zaiid kupata mtu wa kumalizana nae ?dah hizi thread zinaboa hadi basi sasa
kila wiki lazima aje mtu na ishu hiii hii